Posts

KWANINI TUNAJIDANGANYA TUNAFIKIRI TUNAPASWA KUWA TOFAUTI KULIKO TULIVYO SASA

Image
Muda mwingi picha yetu ya tutavyokuwa inakuwa mbele ya matamanio yetu kuliko jinsi tulivyo sasa. Mimi wa sasa hana maana sawa na mimi nitayekuja kuwa anavutia zaidi na kuwa na shauku kumfikia.  Kwanini huwa tunajihisi upungufu kwenye wakati uliopo na kuona nina hitaji kujijaza ili nifikie kuanza kuishi. Je, nikweli tuna upungufu au tumetengenezewa huu upungufu? Upungufu wetu wakujikataa katika wakati uliopo umeletwa na nini?. Ni kweli Jamii imeshatuandalia sura ya tunavyopaswa kuwa ili tuwe kamili na tutafsirike furaha na amani ndani yetu kwa  kuishi bila maumivu wala shida yoyote ndani yetu ya mateso inayo tuepusha nayo.  Je, ni kweli kuna maisha yaliyokamilika mbele yetu au sisi aliye tofauti na sasa mwenye ukamilifu. Muda wote wakati uliopo umekuwa ukitumika kama daraja tu na kuwa hauna maana sana kama wakati ujao tulivyo na hamu nao.  Ni kipi kikubwa tunacho kikimbia katika wakati uliopo ambacho hakitakuwepo kwenye sisi wa wakati ujao?. Ina onekana ka...